CHACUN POUR SOI lyrics by Papa Wemba ft Diamond Platinumz (Kila Mtu Kwake

23:19 Unknown 0 Comments

Chacun Pour SOI lyrics by Papa Wemba ft Diamond Platinumz (Every Man His)
Motema ezo lela est ce que ozo yoka ngaMawa na nga pe pinzoli eh(Moyo unaniuma, hivi unaskia maumivu na machozi yangu?)Mboka nini na kende epayi ya nga, Nakeyi Dar-Es-Salaam(Niende wapi mbali na haya, nakwenda Dar-Es-Salaam)Kolela na nga eleki ya moto mohumbu oya azangaki liberté(Kilio changu kinazidi cha mutumwa asie kuwa huru)Kuna kuna na Zanzibar (Kule kule Zanzibar)DIAMOND (PRE-CHORUS)Alfajiri huwa ni kitendawiliNafikiri pindi tukiwa wawiliTena nakiri inanitesa mwili Bora tu niache   (CHORUS)Chacun pour soi eh, mélodie na nga(Kila mtu kivyake, melody yangu)Chacun chez soi eh(Kila mtu kwake)Chacun pour soi eh, mélodie na nga (Kila mtu kivyake, melody yangu)Chacun pour soi eh (Kila mtu kivyake)Ukweli roho inanisononaTena moto hadi sijaponaIla naamini Mola atanionaNitakuja pata wakuniponyaIla tu chonde ma nikuombeUsiniseme vibaya Tena nakuombea kuongezewaKwa Mola mwaya   (PRE-CHORUS)Alfajiri huwa ni kitendawiliNafikiri pindi tukiwa wawiliTena nakiri inanitesa mwili Bora tu niacheNibaki mwenyewee   (CHORUS)Chacun pour soi eh, mélodie na nga(Kila mtu kivyake, melody yangu)Chacun chez soi eh(Kila mtu kwake)Chacun pour soi eh, mélodie na nga (Kila mtu kivyake, melody yangu)Chacun pour soi eh (Kila mtu kivyake)Aah chacun soi eh(Kila mtu kivyake)   (CHORUS)Tucheze rumbaTena taratibu na mtumbaTwapenda rumbaWote na marafiki wa kunyumbaCheza rumbaKINSHASATobina rumbaNAIROBICheza rumbaBRAZZAVILLETobina rumbaCheza rumba ABIDJAN NA YAOUNDETobina rumbaNA COTONOU LOMEMambi na mwana AfricaRumba ya bana mboka (Rumba ya wananchi)

0 comments: